Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Wakuu nipo nchi jirani, nimeoga nimevaa vizuri sasa mda huu natafuta night club nzuri nikapoteze mda. Jiji la Kigali ndiyo mara yangu ya kwanza kuja. Hii miji ya watu sipendi kuparamia bila kupata mwongozo kwa wazoefu
NB: Siendi kupombeka wala kutafuta kahaba.
Naenda kunywa wine tu, nishangae muda uende nirudi kulala maana pombe na umalaya niliapa nimeacha.
View attachment 2343468
NB: Siendi kupombeka wala kutafuta kahaba.
Naenda kunywa wine tu, nishangae muda uende nirudi kulala maana pombe na umalaya niliapa nimeacha.
View attachment 2343468