Najiandaa kwenda club muda huu nipo Kigali, naombeni maelekezo

Najiandaa kwenda club muda huu nipo Kigali, naombeni maelekezo

Wakuu nipo nchi jirani, nimeoga nimevaa vizuri sasa mda huu natafuta night club nzuri nikapoteze mda. Jiji la Kigali ndomara yangu ya kwanza Kuja hii miji ya watu sipendi kuparamia bila kupata mwongozo kwa wazoefu

N. B. Siendi kupombeka wala kutafuta kahaba.

Naenda kunywa Wine tu nishangae mda uende nirudi kulala maana pombe na umalaya niliapa nimeacha
View attachment 2343468
Mademu wa Rwanda ni vishoka. Hao ni viwembe hasa wakijua wewe ni dereva au utingo wa malori. Kaa nao mbali kabisa maana usijeanza kumuibia boss wenu mafuta kwenye mapori ya runzewe na masumbwe.
 
Mademu wa Rwanda ni vishoka. Hao ni viwembe hasa wakijua wewe ni dereva au utingo wa malori. Kaa nao mbali kabisa maana usijeanza kumuibia boss wenu mafuta kwenye mapori ya runzewe na masumbwe.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ni watu wa vizinga eti
 
Sema mwamba huwa sikuamini kivile.

Ungekuwa unaaminika na kweli uko Rwanda ningekuunga na mrembo angekutembeza hadi ufurahi.

Lakini kichwa chako kina madish mengi na mawimbi yanaingikiana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaitwa Nani.. Unaweza nitumie namba yake PM
 
Back
Top Bottom