Najibu Balala: Watanzania lazima wakae 14 days quarantine

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Huyu Waziri wa Utalii anasimamia msimamo wa Serikali yake lkn bado anataka mazungumzo na Tanzania. Kumbukeni, wakati sisi hatujawakataza kuingia Tanzania, nyie mmezuia kabisa yaani mtu awe na covid free certificate au akose lazima akae 14 days.

Hakuna mazungumzo yoyote yanafanyika. Endeleeni na utataribu wenu nasi tunao wa kwetu. Kila mtu abakie kwao

See more trending news on @ Phoenix Browser Balala Asisitiza Ni Sharti Watanzania Wawekwe Karantini Wanapowasili Nchini Kenya
 
Hiyo ningonjera yake muache atape tape
Tqnzania itabakia na Mambo yake na wao waendelee na hiyo Corona
Ila Sisi tutajibu Pale watakapo ishia
 
Mbona mnalazimisha muingie kwenye nchi ya watu bila kufuata taratibu zao, nyie huko mna nchi yenu na taratibu zenu, huku tuna kanuni zetu, njaa ikikuuma sana ung'ang'anie kuja huku, fuata masharti yetu upanue mdomo tukupime, na usitujie na vijikaratasi umeghushi hapo Kariokoo eti cheti cha corona.
Ndege zetu kutua Dar hazizidi umuhimu wa afya yetu.
 
Mara ngap mawaziri wenu wameililia suluhu? sasa imeshindikana wanaanza kujitutumua, laiti tungelikua na shida na kenya sidhani hatua tulizochukua tungezichukua badala yake tungetaka mazungumzo, nadhani mpaka hapo ushaelewa nani anatapa tapa kati ya kenya na tz
 
Kinacho wauma nini zaidi mbona sisi tumejibu tu yale mliyotuuliza?
 
Lazima mpimwe, hamtaingia mtakavyo, kuna baadhi yetu hatuna habari na mindege, ila hatupo tayari kutiwa rehani.
 
Lazima mpimwe, hamtaingia mtakavyo, kuna baadhi yetu hatuna habari na mindege, ila hatupo tayari kutiwa rehani.
Hasira za kupigwa ban zinawatesa kweli, saivi mnawewezeka kichizi.
 
Huyu waziri wa Kenya hana imani kabisa na nguvu za mtakatifu wetu Jiwe. Huyu hana tofauti na Tomaso. Yaani haamini hata baada ya Rais wetu kufanya muujiza kwa kutamka haya maneno mara tatu? Toka kovidi, nakuamuru tena tokaaa!
 
Hasira za kupigwa ban zinawatesa kweli, saivi mnawewezeka kichizi.

Mnachekesha mjue, hivi mnajua ni asilimia ngapi ya Wakenya hutumia hizo ndege kuja Dar, mamilioni ya Wakenya hata hawana habari ya hiyo ban ila kwenu huko imetangazwa had kijijini.
Kimsingi huku kwetu kwa sasa hatuwazi kingine ila afya yetu, yeyote anayetokea kwenye taifa lililojichokea lazima apimwe.
 
ndege zenu kuja kwetu ziliwapa advantage kuwaleta watalii mlokua mnawadanganya mlima upo kwenu, pia soon tunapanga kupiga ban ndege zenu kutotumia anga letu muwe mnapitia baharini au uganda route zote za kusini nyang'au nyinyi.
 
Lazima mpimwe yaani hamna namna wala ujanja wowote, mtang'aka lakini lazima ufungue mdomo utumbukizwe kifaa cha kupima.....ni hilo tu.
 
Hakuna anayelazimisha kuingia, ila on reciprocity principle tuheshimiane. Hakuna kikao, tutafikiria November baada ya uchaguzi.
 
Lazima mpimwe, hamtaingia mtakavyo, kuna baadhi yetu hatuna habari na mindege, ila hatupo tayari kutiwa rehani.
Sawa, kila mtu na sera yake. Kwani kuna aliyebisha?
 
Lazima mpimwe yaani hamna namna wala ujanja wowote, mtang'aka lakini lazima ufungue mdomo utumbukizwe kifaa cha kupima.....ni hilo tu.
sie hatuendekezi ujinga wakuwafurahisha wazungu utadhani tumekatika vichwa, endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu akati tunawapumulia matakoni
 
sie hatuendekezi ujinga wakuwafurahisha wazungu utadhani tumekatika vichwa, endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu akati tunawapumulia matakoni

Na sisi msisubiri tuendekeze ujinga wa kujichokea kama mnavyofanya kisa umaskini, lazima mpimwe hamuingii katu.
 
Hakuna anayelazimisha kuingia, ila on reciprocity principle tuheshimiane. Hakuna kikao, tutafikiria November baada ya uchaguzi.

Ndivyo inapaswa, mkae huko na muache makelele, lazima mpimwe.
 
Watanzania wote wana corona so its only right waekwe quarantine nchi yeyote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kweli wote Wana korona,lakini mbona hawafi Kama nyie?
Juzi kwenye simba day,watu walijazana kibao,hata wageni walikuwepo hatujaona video za watu wakipepesuka kwa kuzidiwa na korona!
Kenya,mbwembwe za bure,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…