Najibu Balala: Watanzania lazima wakae 14 days quarantine

punguza ujinga, maskini ni nyie mnaotegemea chakula cha msaada kila mwaka, ukiona nchi haijitoshelezi kwa chakula ujue hao ni maskini wakutupwa.

Itawachukua muda mrefu sana kuikaribia Kenya kiuchumi, ila hivi tatizo huwa nini, ni uzembe au laana...
 
Karibu Dodoma Mkuu
Huku kwetu tunaishi kama Paradiso vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maandamano mnayoyafanya niyanini?.na Uhuru awapige vizuri mpaka mpate adabu.na pesa za covid amekula na wenzie ninyi mnatoa macho tuuu.pambaneni na hali zenu
 
Kenya ina serikali dhaifu sana,yaani hawajui wasimamie lipi macharia anasema hile huyu naye anasema lile yaani full magungano,wakati tanzania wako bize na mambo yao
 
punguza ujinga, maskini ni nyie mnaotegemea chakula cha msaada kila mwaka, ukiona nchi haijitoshelezi kwa chakula ujue hao ni maskini wakutupwa.
na nyinyi mnaojitosheleza mbna mmejaza omba omba kwenye nchi za wenyewe?
 
Utaritibuwa wenu wapi mlisha okewa na mabeberu siburini iyo mimba ya covid-19 loan mzae tu hauna jpya mafala nyie. Tanzania hatulazimishi as long as m a ingia Tz bila Condition then we'll pin you to the last level your nuts will ever contact dirty bustards
 
ndege zenu kuja kwetu ziliwapa advantage kuwaleta watalii mlokua mnawadanganya mlima upo kwenu, pia soon tunapanga kupiga ban ndege zenu kutotumia anga letu muwe mnapitia baharini au uganda route zote za kusini nyang'au nyinyi.
Tukipiga hiyo ban KQ itakufa kifo cha mende. Hizo trip za kusini mwa Afrika watazisikia kwenye bomba...
 
KQ inaenda kufa kibudu. Mali ya dhuluma siku zote haikai. Hili shirika lilianzishwa kwa dhuluma sasa litakufa tu maana biashara yao kubwa ilikuwa kuwaleta watalii kutoka Europe na USA kwenye vivutio vyetu. Hakuna Mtalii atakayekwenda kuona Masai Mara peke yake, lakini wapo wengi watakaopenda kuona Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Sealous, Zanzibar pamoja na Pemba wachilia mbali mahale na vivutio vinginevyo. Imekula kwao.
 
ndege zenu kuja kwetu ziliwapa advantage kuwaleta watalii mlokua mnawadanganya mlima upo kwenu, pia soon tunapanga kupiga ban ndege zenu kutotumia anga letu muwe mnapitia baharini au uganda route zote za kusini nyang'au nyinyi.
Kuna kitu kinaitwa international airspace Mkuu.
 
Magu na warembo Tano Tena.
 
Endeleni kupata shida sisi bongo kama.kawa tunakula bata tu ...HAKUNA CHA KORONA WALA BABA AKE KORONA
 
na nyinyi mnaojitosheleza mbna mmejaza omba omba kwenye nchi za wenyewe?
omba omba ni janga la dunia, kila pahala katika dunia hii kuna omba omba hivo sijaona cha ajabu hapo bt punguzeni kujisifia uchumi mkubwa akati kila mwaka mnategemea msaada wa chakula, wananchi inafikia hatua wanapika hadi mawe.
 
na nyinyi mnaojitosheleza mbna mmejaza omba omba kwenye nchi za wenyewe?
Omba Omba wanaletwa na matycoons wenu, wanawaweka road, wanachukua kiasi ya walichoomba, wanawalisha wavalisha, wanawapatia shelters.
 
omba omba ni janga la dunia, kila pahala katika dunia hii kuna omba omba hivo sijaona cha ajabu hapo bt punguzeni kujisifia uchumi mkubwa akati kila mwaka mnategemea msaada wa chakula, wananchi inafikia hatua wanapika hadi mawe.

Ni janga la dunia ila nyie kati ya mataifa yote ndio omba omba wenu wamejazana kwetu hapa

omba omba ni janga la dunia, kila pahala katika dunia hii kuna omba omba hivo sijaona cha ajabu hapo bt punguzeni kujisifia uchumi mkubwa akati kila mwaka mnategemea msaada wa chakula, wananchi inafikia hatua wanapika hadi mawe.
hahahaaaa yani nchi zina shida kuwashinda kina somalia na s.sudan zisiexport omba omba ila nyinyi mmejaza omba omba kila mahali alafu uko hapa kutetea, haha ati janga la dunia.
 
Ethiopia waliangusha ndege ya kenya na wanaendesha kikora lakini kenya mko kimya kila mda na Tanzania. Dawa ya kenya ni kuwazingua kama Ethiopia wanavyowafanyia ndio mnakua na nidhamu
 
Omba Omba wanaletwa na matycoons wenu, wanawaweka road, wanachukua kiasi ya walichoomba, wanawalisha wavalisha, wanawapatia shelters.
hao 'matycoon' huona tu watanzania ndo wanashida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…