MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
punguza ujinga, maskini ni nyie mnaotegemea chakula cha msaada kila mwaka, ukiona nchi haijitoshelezi kwa chakula ujue hao ni maskini wakutupwa.
Itawachukua muda mrefu sana kuikaribia Kenya kiuchumi, ila hivi tatizo huwa nini, ni uzembe au laana...