Mke wa Smart911 basi tena 🤣🤣
Everything we do is calculated into numbers!! Is it true?? How?
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanafalsafa mmoja alizungumzia juu ya suala la ndoa. Kwamba... Yeye anaona kuwa kwenye ndoa ingependeza zaidi endapo wapendanao wawili wakichokana waachane kila mmoja aende kupenda kwingine huko ukichoka/ ukishindwa vivohivo sepa nenda kwingine utapopenda upya... Hivi ni nani huyo nimemsahau naomba nikumbushe
Na je Unaonaje hilo wazo lake with reference to the real life situation as mahusiano/ ndoa is concerned??
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Briefly explain the theory of multiplication of individuals of the same species.
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
If God loves us.. He won't allow some evils happen to us?? What do you say on this
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja sociopolitical theories of the state kama mbali hivi??
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa Mahondaw sio fresh asee. Hata computer hauiulizi hivyo ni step by step [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]Mkuu ni mnyambulisho wa maneno tu Ila mtu akipenda kuita hivyo hamna shida coz haiathiri maisha yangu halisi..
Malcom lumumba hua ananiita hivo na naona kawaida tu
Nini sasa babe
Wa watu wenye brain zaoUzi wa kigumu
mnazingua
Kama umemchoka smart sema tu nikubebeKuna mwanafalsafa mmoja alizungumzia juu ya suala la ndoa. Kwamba... Yeye anaona kuwa kwenye ndoa ingependeza zaidi endapo wapendanao wawili wakichokana waachane kila mmoja aende kupenda kwingine huko ukichoka/ ukishindwa vivohivo sepa nenda kwingine utapopenda upya... Hivi ni nani huyo nimemsahau naomba nikumbushe
Na je Unaonaje hilo wazo lake with reference to the real life situation as mahusiano/ ndoa is concerned??
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
naitaji kukuuliza swali..sijui kama bado upo tayari kujibu..?!!Habarii
Jana niliulizwa maswali kwenye uzi flani as HardTalk Bahati mbaya sikuweza kuyamaliza yote kutokana na simu kuisha chaji. Hivyo basi Ningependa kujibu maswali yote yaliyobaki na kama kuna swali lolote uliza.. about Psychology, Theology, Philosophy, Science and technology, Politics, Entertainment, Cosmology, Economy etc etc...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
naitaji kuwa msomaji wa vitabu vya kiingereza lkn tatizo ni kuwa vitabu hivi waandishi wake hutumia misamiati migumu sana kuielewa..uliza mkuu
Kwa nn tangu TL apigwe risasi mpka Leo hatujaona Picha ikimuonyesha akiwa na majerahA zaidi ya gari inayosemekana alikuwa ndani yake!?uliza mkuu