Najibu maswali yenu hapa...Uliza chochote

Najibu maswali yenu hapa...Uliza chochote

Explain falsification theory.

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Everything we do is calculated into numbers!! Is it true?? How?

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanafalsafa mmoja alizungumzia juu ya suala la ndoa. Kwamba... Yeye anaona kuwa kwenye ndoa ingependeza zaidi endapo wapendanao wawili wakichokana waachane kila mmoja aende kupenda kwingine huko ukichoka/ ukishindwa vivohivo sepa nenda kwingine utapopenda upya... Hivi ni nani huyo nimemsahau naomba nikumbushe

Na je Unaonaje hilo wazo lake with reference to the real life situation as mahusiano/ ndoa is concerned??

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
How many types of philosophers

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Briefly explain the theory of multiplication of individuals of the same species.

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
If God loves us.. He won't allow some evils happen to us?? What do you say on this

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Taja sociopolitical theories of the state kama mbali hivi??

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tofautisha kati ya being and essence??

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa Mahondaw sio fresh asee. Hata computer hauiulizi hivyo ni step by step [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alizungumzia juu ya suala la ndoa. Kwamba... Yeye anaona kuwa kwenye ndoa ingependeza zaidi endapo wapendanao wawili wakichokana waachane kila mmoja aende kupenda kwingine huko ukichoka/ ukishindwa vivohivo sepa nenda kwingine utapopenda upya... Hivi ni nani huyo nimemsahau naomba nikumbushe

Na je Unaonaje hilo wazo lake with reference to the real life situation as mahusiano/ ndoa is concerned??

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umemchoka smart sema tu nikubebe
 
Habarii
Jana niliulizwa maswali kwenye uzi flani as HardTalk Bahati mbaya sikuweza kuyamaliza yote kutokana na simu kuisha chaji. Hivyo basi Ningependa kujibu maswali yote yaliyobaki na kama kuna swali lolote uliza.. about Psychology, Theology, Philosophy, Science and technology, Politics, Entertainment, Cosmology, Economy etc etc...

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
naitaji kukuuliza swali..sijui kama bado upo tayari kujibu..?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliza mkuu
naitaji kuwa msomaji wa vitabu vya kiingereza lkn tatizo ni kuwa vitabu hivi waandishi wake hutumia misamiati migumu sana kuielewa..

nifanyeje/nitumie mbinu gani ili niwe msomaji wa vitabu hivyo na kuvielewa eg(poor dady&rich dady, the power of positive thinking e.t.c)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom