Najibu maswali yenu hapa...Uliza chochote

Najibu maswali yenu hapa...Uliza chochote

Kila siku nasikia wale Wakristo wa madhehebu ya Kipentekosti wakikemea kunywa pombe. Je Biblia yetu inasemaje kuhusu kunywa pombe na je unakubali je unakubali kunywa pombe si dhambi?

Mkuu kwa mujibu wa imani yangu ya ukatoliki kunywa pombe si dhambi na haijakatazwa maana pombe ni kwajili ya mwili ila ulevi ndio dhambi maana ni chanzo cha maovu yote ulevi wa pombe

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Write your reply...If I'm not fit in in the circles of people what should I do?
Mkuu
Try this Tips may will help you..
•Connect With Connectors
•Meet New People Constantly
• Establish Yourself As a Giver of Value
•Commit to a Local Community
• Reach Out to People On a Regular Basis
•Know the Kind of Friends You Want in
Advance

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu
Try this Tips may will help you..
•Connect With Connectors
•Meet New People Constantly
• Establish Yourself As a Giver of Value
•Commit to a Local Community
• Reach Out to People On a Regular Basis
•Know the Kind of Friends You Want in
Advance

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nice tips

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
4G LTE
●Swali langu gumu ni Je Mungu anajua destination yetu?? I mean anajua kama nitaingia motoni au peponi. Mkuu hiko kitu nisichopenda wajue nikikitaja hapa watu watakua wamejua.
●Kinachotukwamisha uchumi wa kati ni watu wenyewe na mfumo wa serikali. pia watu hawazitambui fursa japo wengine wanazitambua ila hawawezi tekeleza kutokana na kutokua na Mitaji ya pesa na akili. Cha kufanyika ni kua watu wawe na mapenzi ya dhati na nchi yao waijenge nchi yao wenyewe, pia serekali iwe mfumo ambao utaweza kusaidia watu kuwavutia kuja kuwekeza nchini
●Daah mkuu issue hii ngumu kidogo! Mm sidhani kama kuongozwa na chama kimoja kuna shida. Mm sihitaji niongozwe na vyama vingi vilivyokaa madarakani nataka niongozwe na chama kitakacho simamia maslahi ya wananchi wengi wa Tanzania sio ya watu wachache shida ni kua Chama hiki kiukweli kishapitwa wakati sera zake na watu wamekichoka kutokana na kutotimiza yale wanayoahidi. Ccm ina mazuri mengii na mabaya mengi tuu
●mkuu kwanza mfumo wetu pia uko ovyoo kiukweli haumjengi mwanafunzi kua Competent wazazi pia kiasi flani wana mwamko duni hasa vijijini
Swala la elimu bure ndo shida kabisa!
Sijui wakati serikali ina tekeleza hii sera iliwaza nini, labda walitaka sifa kwa wananchi wao!! Imagine unatoa elimu bure hafu shule hakuna madarasa wala dawati, walimu wala vifa vya kufundishia. Watoto wanajazana tuuu mwisho wa siku shule hawasomi wanakua wanaenda kucheza tu huko.
Nadhani sweikali ingajipanga kwanza kuitekeleza hii sera ya elimu bure maana haina tija kama watu wanaenda kusoma bure hafu hakuna vifaa wala darasa!!SERIKALI HAPA ILIKURUPUKA.
●Tanzania itajengwa pindi watu watakapo jitoa kuijenga kwa akili na nguvu zoote...
Nimekujibu? ???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Shukrani sana mkuu , nimekawia sana kupita humu.... Nimekupata sawia kabisa hasa issue ya elimu na mfumo wa kiungozi wa nchi na imani juu ya muumba wetu[emoji1488].... Mimi mwenyewe issue ngumu kwangu ni mapokezi ya safar iliyobakia[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipewa Jf sasa hivi unafanya maboresho gani? Yapi ungependa kuyaboresha na yapi ungeyaondoa..
 
4G LTE said:
Shukrani sana mkuu , nimekawia sana kupita humu.... Nimekupata sawia kabisa hasa issue ya elimu na mfumo wa kiungozi wa nchi na imani juu ya muumba wetu[emoji1488].... Mimi mwenyewe issue ngumu kwangu ni mapokezi ya safar iliyobakia[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ahsabte pia mkuu Inafikitisha sana ukiwazia hii safari iliyoko mbele yetu. Tuombe rehema zake Mungu tu
 
Mkuu MwiH
●Napenda muvi sana kuliko hata chakula muvi kali Latest niliyoipenda ni Glass iliyotoka wiki iliyopita.
●Kama nikipewa JF nisimamie >>ningeongeza wigo wa memba kua na uwezo wa kujieleza Openly. Hakuna kujieleza kwa uwazi Jf, tupo limited kwa baadhi ya mambo labda kutokana na mfumo wa serikali kuikaba koo JF nao wanafanya ivo kulinda ugali
>> Ningepunguza Multiple Ids.. kuna utitiri wa ma id meengii hadi tunaonekana tuko memba wengii humu
●Mkuu mm ni Sleepless elite yaani kundi la watu wanaolala muda umeenda na kuamka mapema!mara nyingi nalala saa 8 Usiku naamka saa 12. Ratiba yangu ya siku inaanza saa 6 mchana.
●Hakuna kitu sipend kama kuona mtu akionewa au kudhurumiwa naumia na ninakereka sana.. ajili yaa hii yashanikuta mambo sana.
●Mkuu idea ya kutafsiri vitabu kiukweli nimeiweka pending coz niliona kuna mzunguko mkubwa kufanikisha hilo naweza pelekwa segerea bure. Pia sikupata mtu aliyevutiwa na wazo langu but bado ipo kichwani labda ipo siku nitaandika kitabu changu.
Nimekujibu?????

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nashukuru mkuu nimeyapenda mjibu yako

End Justify Mean
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alizungumzia juu ya suala la ndoa. Kwamba... Yeye anaona kuwa kwenye ndoa ingependeza zaidi endapo wapendanao wawili wakichokana waachane kila mmoja aende kupenda kwingine huko ukichoka/ ukishindwa vivohivo sepa nenda kwingine utapopenda upya... Hivi ni nani huyo nimemsahau naomba nikumbushe

Na je Unaonaje hilo wazo lake with reference to the real life situation as mahusiano/ ndoa is concerned??


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom