Najichukia uso wangu

Nenda manzese kajifunze boxer, wiki tu utafanana na mashari.
 
Jipake cement baada ya saa osha na maji rudia kwa week mara 3 utakuwa sawa.
 

Dah! Human... a very complicated spices... wengine wanalia uso chunus na mabaka huyu nae anadai mlain sana.. hv nambie uso wako kuwa mlain kumeondoa manhood yako ama kimepungua nn...

aliekwambia uanaume ni kuwa na uso/sura ngumu nan.. hebu achana na inferiority complex .. akil za kuambiwa changanya na zako

yaan ukiwaza hivyo hutakuwa tofaut na mtu mweusi anaejichubua ili awe mweupe..
 
wape kinyeo wanaume wenzio ndo uso utakuwa mgumu
 
2Wafalme5:14
Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.
Kasome habari hii ya Naamani aliyekuwa mkuu wa majeshi. Alipata ugonjwa wa ukoma lakini Mungu alipomponya ngozi yake ilirudi kuwa soft kama ya mtoto mchanga. Na ukumbuke huyu alikuwa mkuu wa majeshi...
 
some men are wise and others are otherwise!
 
nimesoma daah wacha nibaki hivi thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…