Najichukia uso wangu

Najichukia uso wangu

Nenda manzese kajifunze boxer, wiki tu utafanana na mashari.
 
Jipake cement baada ya saa osha na maji rudia kwa week mara 3 utakuwa sawa.
 
Habari bandugu naomba mnipatie altenatives ya kuufanya uso wangu uwe mgumu maana mimi ni mwanaume sipendi kuona uso wangu kuwa mlaini.shemeji/wifi yenu hupenda kunishikashika uso akisema anaupenda sababu mlaini sana,hata x girls wa nyuma walikuw wakisema uso wangu mlaini stil friends wanafunguka same ishu binafsi nikijgusa nakubali kama ya mtoto mchanga wakati nina 28 yrs now.ofcoz brothers and sisters mi binafsi nachukia sana hali hii,natumia futa la mgando tu na wala sijawai kufany scrubbing.hivyo doctors naombeni mnisaidie nifanye nini ili nipate uso mgumu mimi mtoto wa kiume sipendi hali hii kabisa.

Dah! Human... a very complicated spices... wengine wanalia uso chunus na mabaka huyu nae anadai mlain sana.. hv nambie uso wako kuwa mlain kumeondoa manhood yako ama kimepungua nn...

aliekwambia uanaume ni kuwa na uso/sura ngumu nan.. hebu achana na inferiority complex .. akil za kuambiwa changanya na zako

yaan ukiwaza hivyo hutakuwa tofaut na mtu mweusi anaejichubua ili awe mweupe..
 
2Wafalme5:14
Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.
Kasome habari hii ya Naamani aliyekuwa mkuu wa majeshi. Alipata ugonjwa wa ukoma lakini Mungu alipomponya ngozi yake ilirudi kuwa soft kama ya mtoto mchanga. Na ukumbuke huyu alikuwa mkuu wa majeshi...
 
2Wafalme5:14
Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.
Kasome habari hii ya Naamani aliyekuwa mkuu wa majeshi. Alipata ugonjwa wa ukoma lakini Mungua alipomponya ngozi yake ilirudi kuwa soft kama ya mtoto mchanga. Na ukumbuke huyu alikuwa mkuu wa majeshi...
nimesoma daah wacha nibaki hivi thanks
 
Back
Top Bottom