Najichukia uso wangu

Kanywe ulevi wa kienyeji halafu kafanye kazi ya kuuza mitumba kariakoo. Na uso wako ukishapayuka kama dingi wa miaka 50 wakati ukiwa na miaka 30 leta mrejesho. pumbavu kabisa
Masikini Mbavu zangu
 
Binadamu haturidhiki subiri upewe ushauri, ukishatoka michunuzi na mabaka urudi hapa tenda kwa ushauri Zaidi, mana ukishakuwa na mabaka hata huyo anaekuita mpenzi anaweza akasepa kutafuta mwanaume mwenye sura ya kueleweka, wakati wenzio wanatoa pesa kuingia saloon kufanya scrub wewe unataka kujiharibu, kama mpenzi wako anakupenda Zaidi hali ulonayo unataka nini tena??? au huo ulaini wa ngozi unakufanya ushindwe kufanya kazi zako au biashara zako?
 

Acha utoto kipimo cha uanaume sio uso!..au una lako jambo unajitangaza hapa?..kwamba una sura nyororo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…