Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Masikini Mbavu zanguKanywe ulevi wa kienyeji halafu kafanye kazi ya kuuza mitumba kariakoo. Na uso wako ukishapayuka kama dingi wa miaka 50 wakati ukiwa na miaka 30 leta mrejesho. pumbavu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini Mbavu zanguKanywe ulevi wa kienyeji halafu kafanye kazi ya kuuza mitumba kariakoo. Na uso wako ukishapayuka kama dingi wa miaka 50 wakati ukiwa na miaka 30 leta mrejesho. pumbavu kabisa
Habari bandugu naomba mnipatie altenatives ya kuufanya uso wangu uwe mgumu maana mimi ni mwanaume sipendi kuona uso wangu kuwa mlaini.shemeji/wifi yenu hupenda kunishikashika uso akisema anaupenda sababu mlaini sana,hata x girls wa nyuma walikuw wakisema uso wangu mlaini stil friends wanafunguka same ishu binafsi nikijgusa nakubali kama ya mtoto mchanga wakati nina 28 yrs now.ofcoz brothers and sisters mi binafsi nachukia sana hali hii,natumia futa la mgando tu na wala sijawai kufany scrubbing.hivyo doctors naombeni mnisaidie nifanye nini ili nipate uso mgumu mimi mtoto wa kiume sipendi hali hii kabisa.