Najihisi homa kali zaidi ninapokua nakula. Msaada dokta.

Najihisi homa kali zaidi ninapokua nakula. Msaada dokta.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habari zenu wajuzi!?..
Kwakweli kama title inavyojielez, kwangu ni tatizo. Huwa ninapokula chakula iwe breakfast, lunch hata dinner najihisi kuzidiwa ile nguvu zinaniishia kabisa japo huwa najikaza mpaka namaliza chakula. Lakini muda kabla au baada ya kula huwa narejea katika hali yakawaida yaani homa kiasi.
Historia, yapata wiki3 tangu nijihisi homa, vichomi na tumbo kuuma na nikajaribu kufika dispensary ambapo nilipewa dawa bila vipimo coz muda ilikua jioni maabara hawakufanya kazi.
Cha kushanganza dawa nilizopewa zimeesha, ila kihoma na hali bado zanisumbua japo sio serious kwani kazini naenda na mambo mengine nafanya isipokuwa nakuwa serious pale napokuwa napata chakula.
Ushauri bandungu!
 
Back
Top Bottom