Najihisi kua na upungufu wa nguvu za kiume

Najihisi kua na upungufu wa nguvu za kiume

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
Mimi ni kijana wa miaka 27 mwenye afya njema na sina michepuko mingi.Tatizo linalo nisibu niwapo sita kwa sita na mpenzi wangu including wote niliotembea nao bao la kwanza hua linawahi kutoka mapema tu chini ya dak 5 but uume hua hausinyai kazi inaendelea kama kawaida kimbembe kinakua katika kutafuta bao la pili.Katika maisha yangu yote niliyofanya mapenzi na katika wanawake wote niliokutana nao hua sipigi bao la pili baada ya hilo la kwanza kutoka hivyo basi hua wanaanza kulalamika et wamechoka,wanaumia ili hali mimi bado hamu haijaisha sielewi tatzo langu linatokana na nini.

katika maisha yangu yote sijawahi tumia dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume naombeni wataaam wa afya mnisaidie.
 
Tukusaidie kutafuta mwanamke ambaye hachoki? Sasa hapo una upungufu gani wakati hata ukipata jini litachoka lenyewe.
 
Hebu ondoa huko kujihisi na tatizo litakua limekwisha
Pamoja na kujihisi nina tatizo sijawahi kujihisi inferior niwapo na mpenzi wangu kuhusu hilo tatzo pengne ndo mana namaintain mpaka wenyewe wanaomba poo
 
Kwani tatizo la nguvu za kiume dalili zake ni zipi? Tukizijua ndio tunaweza kuja na conclusion
 
Matangazo humu JF ni bure. Tumekusoma kuwa unaweza kuwatoa jasho mabibi. Haya, hongera. Mwanaume asoweza kukaa juu ya mke saa moja na zaidi huyo ndio amepungukiwa nguvu.
Kama unawahi kutoa upepo kwenye dk 5 za mwanzo basi jifunze mautundu hata ya kumwambia alale ka gogo umsaidie mwenyewe huku ukifanya mautundu asijisikie vibaya hadi uje. Pia muda unaopita tangu upate mechi ya kirafiki na kitaifa. Aina yao. Huwa zinachangia kuja mapema. na kutokuja mapema pia. Kama umeshamzoea utachelewa tu
 
Kwani tatizo la nguvu za kiume dalili zake ni zipi? Tukizijua ndio tunaweza kuja na conclusion
kuchelewa kufika kileleni pia ni tatizo ww unasex unatumia dk 60 au 80 ukojoi hili ni ttzo pia mwanaume unatakiwa bao la kwanza utumie dk 7 au 8 bao la pili 15 au 20 bao la tatu 25 au 30 usizidi hapo ila ukijiona una sex tuu ukojoi iyo ni shida...
 
kuchelewa kufika kileleni pia ni tatizo ww unasex unatumia dk 60 au 80 ukojoi hili ni ttzo pia mwanaume unatakiwa bao la kwanza utumie dk 7 au 8 bao la pili 15 au 20 bao la tatu 25 au 30 usizidi hapo ila ukijiona una sex tuu ukojoi iyo ni shida...
Mkuu ni kweli lakini haya mambo hayana formula maalum kama gwaride.
 
kut*mb*na Sio vita kut*mb*na ni starehe mkuu kut*mb*na ni raha mkuu kwaiyo akuna haya ya kutumia mda mrefu eti kukojoa ww unatumia zako dk 10 au 15 tosha mwanamke analizika na ww ubarizika.
 
Back
Top Bottom