Mimi ni kijana wa miaka 27 mwenye afya njema na sina michepuko mingi.Tatizo linalo nisibu niwapo sita kwa sita na mpenzi wangu including wote niliotembea nao bao la kwanza hua linawahi kutoka mapema tu chini ya dak 5 but uume hua hausinyai kazi inaendelea kama kawaida kimbembe kinakua katika kutafuta bao la pili.Katika maisha yangu yote niliyofanya mapenzi na katika wanawake wote niliokutana nao hua sipigi bao la pili baada ya hilo la kwanza kutoka hivyo basi hua wanaanza kulalamika et wamechoka,wanaumia ili hali mimi bado hamu haijaisha sielewi tatzo langu linatokana na nini.
katika maisha yangu yote sijawahi tumia dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume naombeni wataaam wa afya mnisaidie.
katika maisha yangu yote sijawahi tumia dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume naombeni wataaam wa afya mnisaidie.