Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.

African princess

Senior Member
Joined
May 15, 2018
Posts
110
Reaction score
189
Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.

Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea kukupenda sana, hisia nilizo nazo siwezi zielezea hapa na sikuwah kua nahisia kama hizi,Vlad nakupenda Baba, nmekua naogopa kukuanza nikihofia utakuja Kunishushua humu ila sina jinsi nmefikia ukomo wa uvumilivu na uoga . Nisaidieni kumfikishia ujumbe .

Samahani kwa wote niliowaudhi kwa uzi huu, sasa najisikia Roho kutulia ,hisia za mapenzi jaman mziache tu ,kitu kinakereketa rohon kama vile mjamzito na kichefu chefu.
 
Nimesoma ,nimekuelewa , nitakutafuta mimi mwenyewe.

Hata ivo Nashukuru sana kwakua nahisia namimi na kuziweka wazi .
 
Hahaaaa. Kuna kitu kimenichekesha yaani nimecheka lol.

Kumbe hata na weye Vladmir Shukrani kwako inastahili eeee. Wewe si ndio muumuni wa kuzikataa hizo Shukrani imekuwaje na weye umesema shukrani huoni kama unamchoresha mleta uzi.

Hebu nishushie gazeti huenda nikakuelewa zile lawama zako kwa watu wanaoanzishiwaga nyuzi humu kisha wakaishia kusema ahsante au shukrani.
 
Hajar umenichekesha sanaa..mambo ya " Asante kaka kwa kunipenda ila nimeshawaiwa??"
 
Hajar umenichekesha sanaa..mambo ya " Asante kaka kwa kunipenda ila nimeshawaiwa??"

Hahahaa. Cheka tu Vladmir.

Kwani ndio yaliyokukuta leo Vladmir. Umeonaee. Sidhani kama na sisi huwa tunapenda kujibu vile.

Nadhani umezidi kusoma kitu leo na siku nyingine tukisema ahsante hutashangaa tena. Sababu waeza kuta hapa kama una Ke wako anapita huku akitoa like kimya kimya. Teh teh teh.
 
AYA SASA MIMI PUTIN NASEMA.

MTOA MADA HAJAKOSEA

NIMWANAMKE WA KITAMBO HUMU JF.

HAKUPENDA KUANDIKA KWA ID YAKE ALOIZOEA .

AKATUMIA ID HII .

sasa mbwembwe zenu nyingine zote , achaneni nazo, Mkiandikwa nyie ni poaa, akiandikwa Putin ni nongwa

Nakwakua kaandika kwa ajili ya Putin , wachen Putin ndio ahusike..


Wala msitegemee km nitakaa nimjibu vibaya hapa ... Najua madhara yake .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…