Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.

Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea kukupenda sana, hisia nilizo nazo siwezi zielezea hapa na sikuwah kua nahisia kama hizi,Vlad nakupenda Baba, nmekua naogopa kukuanza nikihofia utakuja Kunishushua humu ila sina jinsi nmefikia ukomo wa uvumilivu na uoga . Nisaidieni kumfikishia ujumbe .

Samahani kwa wote niliowaudhi kwa uzi huu, sasa najisikia Roho kutulia ,hisia za mapenzi jaman mziache tu ,kitu kinakereketa rohon kama vile mjamzito na kichefu chefu.
Kama anazo hela pigana hadi akubali!
Kama ni Marii achana nae atakuongezea mile za K yako bure kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom