Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.
Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea kukupenda sana, hisia nilizo nazo siwezi zielezea hapa na sikuwah kua nahisia kama hizi,Vlad nakupenda Baba, nmekua naogopa kukuanza nikihofia utakuja Kunishushua humu ila sina jinsi nmefikia ukomo wa uvumilivu na uoga . Nisaidieni kumfikishia ujumbe .
Samahani kwa wote niliowaudhi kwa uzi huu, sasa najisikia Roho kutulia ,hisia za mapenzi jaman mziache tu ,kitu kinakereketa rohon kama vile mjamzito na kichefu chefu.