nipo dear hii hali ya JF kupotea ilinihuzunisha sanaUmepotea sana mpendwa ,uko wapi ?
Bidada kwa stail iyo ,unaweza kaa mpaka ufike mwakani nabado asije alafu mkasikia tumeshazaa.Nawaza tu kwa sauti hapa mtoa uzi mbona haji kureply kwny uzi wake [emoji23][emoji23]
Yangu yako poaaaa tu !!! Leo nafuraha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo dear hii hali ya JF kupotea ilinihuzunisha sana
hata ilivyorudi sikujua
mambo yako
Mkuu kwan , umeshawah kutongoza wanawake wangapi ???Inapendeza...
Hahahaha... Alianza Kapeace, akafuata Mima kama sijakose jina sasa amekuja African princess...
furaha ya nini tena my kaka,Yangu yako poaaaa tu !!! Leo nafuraha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you sweet-dada
Inapendeza...
Hahahaha... Alianza Kapeace, akafuata Mima kama sijakose jina sasa amekuja African princess...
Watapata tabu tuuu kwakweli .Mtu kapendwa kama ni mwanaume watajuana wenyewe hizo ni wivu waacheni wenzenu
Aaahhh aiseewNaunda tume ya uchunguzi juu ya jambo hili
Ulishawah kupigiwa simu na mdaiwa wako kua Pesa yako anakutumia sasa iyo ???furaha ya nini tena my kaka,
au kupendwa tu inakufanya uache meno nje
duuuh, wacha kabisa, waweza ongea mwenyewe kama uko njiani unatembeaUlishawah kupigiwa simu na mdaiwa wako kua Pesa yako anakutumia sasa iyo ???
Naww ukizingatia ndo ulikua unauhitaj zaidi ???
Rafiki wewe ulishawahi kumtongoza mwanaume?[emoji30]Behav sio kweli.Mbona kawaida
Haaa haaaa haaaaaRafiki wewe ulishawahi kumtongoza mwanaume?[emoji30]
Goooooo ahead jooooooo , nachotaka ni aibu ziwarudie nyinyi wenyewe...alafu sijui ndo mtaanza ...Putin weee ndugu yangu hahahah putin nakukubali ..Nimesema naunda Tume ya uchunguzi ,nichunguze jambo hili baada ya saa 24 nitaleta majibu
Mwenyekiti ni Mimi mwenyewe naomba hadidu za rejea tu nianze kazi,na majibu yatakuja kwenye Uzi mpya juu matokeo yaliyopatikana