Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
Hahahahaha... mi huwa nawaita wachawi... humu
kupendwa apendwe fulani akipendwa Smart911 sijui Putin shidaaaah hahahahaha
WATAPATA TABU SANA
Hahahaha wachawi kweli, yaaan wanataka JF waandikwe waoooo tuuuuu mweeeee.

Ivi mbona mimi sijawah hata kutia buguza kwa uzi wa mtu ??? .sasaaa weeeeeee ebwanaaaa achaaaa.

Naiyo tabu waipate tuuuuuu .
 
Hahahaha wachawi kweli, yaaan wanataka JF waandikwe waoooo tuuuuu mweeeee.

Ivi mbona mimi sijawah hata kutia buguza kwa uzi wa mtu ??? .sasaaa weeeeeee ebwanaaaa achaaaa.

Naiyo tabu waipate tuuuuuu .


Mchawi si lazima aroge mkuu.. humu Kuna uchawi mwingi sana.. na wachawi pia ni wengi mnooo



cc Smart911
 
Very True...


Cc: mahondaw
Aaahhh unajua mkuuu watu hawana maana , sijui wapendwe wao..sijui vipi.

Bidada kaamua kutoa moyon, aya haijulikan kama tutakua pamoja au lah...

Lkn wanafiki wao wanataka mpaka waende mbele ya hitimisho[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ndio namm nikiandika in return kua " mama nakupenda pia" sindo sasa watu mapovu yatakua km ya Omo ???

Sijui wanataka niseme " asante ninamtu " ili sasa wamfate PM waanze kuzuga wanampa pole ili wampate ????


Watu ni wajinga kweli kweli[emoji23][emoji23]
 
Mchawi si lazima aroge mkuu.. humu Kuna uchawi mwingi sana.. na wachawi pia ni wengi mnooo



cc Smart911
Hahahahah umenichekesha sana mahondaw yaaan kwakweli wachawi niwengi nasilazma aroge


Alafu chek, kuna watu ukienda ktk post zao, wananyuz kibao wameandikia wapenzi ,au wameandikiwa...lkn hutokuta mtu anaitwa V.Putin katia neno ...... Sasa bwana bwanaaaa aandikiwe Putin hahahahhaahha kaaaazi.

Wachawi niwengi alafu wachawi wote wana Wivu balaaaa ...wanatakaga wao tu lkn wengine hapana[emoji23][emoji23][emoji23].


Namm nawambie, ukijihiso unampenda mtu mwambie ,yann ujipe shida ? Mwambie basi subiri matokeo.
 
Umejua kupotea sana, tangu jamvi lipigwe likizo, sidhani kama ulikuwa unachungulia kama limemaliza likizo. Kwani ndip mara ya kwanza kukuona hapa leo tangu jamvi lirejeshwe
acha kabisa nilikuwa naomboleza kufungwa kwa jamvi so sijawahi rudi hadi nilivyoona notification
hahahhaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…