Jamani wanajf...kila nikila najihisi kutapika.....huu ni karibu mwezi wa pili nakutwa na hali hiyo. Inatokea ma
​Ntapate mimba...mi ni mwanamme. Nadhani itakua minyoo. Kwasasa nipo kijijini..hakuna dispensary huku. Nitumie dawa gani japo inisaidie kwa muda?..nikifika mjin nipime....
NB; choo changu kipo sawa...sion tatizo lolote. Nakunya mara 2 kwa siku. Choo kizuri tu
2. Kuacha Madawa ya kulevya kwa ghafla.
4. Kuvuta bangi bila kula.
hizi sababu zinakuhusu mjomba.