Najihisi kutapika

Najihisi kutapika

kb52

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
336
Reaction score
109
Jamani wanajf...kila nikila najihisi kutapika.....huu ni karibu mwezi wa pili nakutwa na hali hiyo. Inatokea ma
 
Hiyo ni dalili ya minyoo, la utumbie kuwa ushafunga goli la kisigo kwa mrembo wako sasa ukasahau ukala vyakula vyake vilivyobakia.
 
Kafanye PD (pregnancy diagnosis)..........Kama huna mimba; peleka sampuli maabara kwa ajili ya kuangalia kama husumbuliwi na minyooo...
 
Sababu zinazoweza kusababisha kuhisi kutapika.

1. Mimba changa, hasa mimba ya kidume.

2. Kuacha Madawa ya kulevya kwa ghafla.

3. Minyoo iliyokomaa hasa minyoo ya kiume.

4. Kuvuta bangi bila kula.

5. Kuvuta hewa chafu hasa ya mitaro yaa maji machafu. (Kama pale kwa mtogole ama kwa tumbo)

6. Stress za kumfikiria mama mkwe na mawifi (hasa kama umeolewa)

Source: wikipedia
 
Ntapate mimba...mi ni mwanamme. Nadhani itakua minyoo. Kwasasa nipo kijijini..hakuna dispensary huku. Nitumie dawa gani japo inisaidie kwa muda?..nikifika mjin nipime....

NB; choo changu kipo sawa...sion tatizo lolote. Nakunya mara 2 kwa siku. Choo kizuri tu
 
Sijawahi kupima minyoo
 
Nitumie dawa gani sasa apo. Pls...sina raha. Najiona kama kitu kipo kwenye koromeo..
 
Ntapate mimba...mi ni mwanamme. Nadhani itakua minyoo. Kwasasa nipo kijijini..hakuna dispensary huku. Nitumie dawa gani japo inisaidie kwa muda?..nikifika mjin nipime....

NB; choo changu kipo sawa...sion tatizo lolote. Nakunya mara 2 kwa siku. Choo kizuri tu
​

Acha ulongo bwana upo kijijini wakati upo pakstani?
Anyway ukirudi jipange, kimenuka huku mitambo mipya imetegwa njapanda ya ulaya!
 
Back
Top Bottom