Najikausha tuu kama hainihusu lakini inaniuma moyoni

AVRAM

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
616
Reaction score
885
Habari zenu wadau,

Hivi hii timu ya taifa huwa inakosea wapi, katika hali ya kawaida si mshabiki sana kiasi ya kuwa napoteza muda kuangalia game za mpira, hata pale inapocheza timu ya taifa ya tanzania. lakin huwa napata taarifa kwa bahati kuhusu maendeleo ya hii timu yetu. Ila kila nikijidai kujifanya sihusiki moyo unansuta nabaki tuu na ule uzalendo wa ndani kabisa kuwa bado mm ni mtanzania na lazima niumie moyo na nafsi kuhusu kufanya vibaya kwa hii timu.

Hii timu kwa kweli huwa inapatiwa kila kitu lakin ikienda hola hainaga inachokifanya, wao ni kufungwa tuuuuu, na hawa wachezaji wakiwa kwenye timu zao utasikia mijina mikubwa mikubwa wanasifiwa kwenye magazeti sasa inakuaje wakienda huko kupambana na wenzao wanachapwa tuuuuu.

Aaaaaaaa michezaji hiii hainaga lolote ukifuatilia game za hii timu ipasavyo lazima uwe na marazi ya moyo ama kupata stresses za ajabu sana.
20181118_202217.jpeg
20181118_202637.jpeg
20181118_202712.jpeg
 
Attachments

  • 20181118_202217.jpeg
    20181118_202217.jpeg
    34.8 KB · Views: 17
Tatizo ni kwamba wachezaj wengi wataifa stars ni wakaz Wa Dar?? inabid uwe mvumilivu kaka
 
Jiwe alipowatakia mafanikio ndo gundu lilipoanza
 
Ila sio mbaya ingawa inauma sana maana wale viwavi wangefungua nyuzi huku mpaka tushindwe kutoa maoni
 
Habari zenu wadau,

Hivi hii timu ya taifa huwa inakosea wapi, katika hali ya kawaida si mshabiki sana kiasi ya kuwa napoteza muda kuangalia game za mpira, hata pale inapocheza timu ya taifa ya tanzania. lakin huwa napata taarifa kwa bahati kuhusu maendeleo ya hii timu yetu. Ila kila nikijidai kujifanya sihusiki moyo unansuta nabaki tuu na ule uzalendo wa ndani kabisa kuwa bado mm ni mtanzania na lazima niumie moyo na nafsi kuhusu kufanya vibaya kwa hii timu.

Hii timu kwa kweli huwa inapatiwa kila kitu lakin ikienda hola hainaga inachokifanya, wao ni kufungwa tuuuuu, na hawa wachezaji wakiwa kwenye timu zao utasikia mijina mikubwa mikubwa wanasifiwa kwenye magazeti sasa inakuaje wakienda huko kupambana na wenzao wanachapwa tuuuuu.

Aaaaaaaa michezaji hiii hainaga lolote ukifuatilia game za hii timu ipasavyo lazima uwe na marazi ya moyo ama kupata stresses za ajabu sana.
View attachment 938760View attachment 938761View attachment 938765
Naona wachezaji walazimishwe kuvaa mabugaluu maana naona mwaka 1979 bugaluu na vipochi vilifanya kazi kwa mujibu wa picha, waache vimodo na kamatia chini zinawapunguzia nguvu huku wakisukuma mabegi na kunyoa viduku. Tujaribu hilo
 
Write your reply...
mpira ni skills,sasa jamaa zetu hawa wao wancheza cheza tu hawana mipango,mpira maandalizi aisee
 
Back
Top Bottom