nashauri aende hospitali kwanza kabla ya kutumia hiyo bidhaa yenu, wabongo tusiangalie biashara kwanza, tuangalie maisha ya mtu kwanzajesca.com
Nakubaliana na ushauri aliokupa Marapai hapo juu.
Jaribu kutumia hii bidhaa yetu: Bofya hapa.
Tatizo kama halijapungua au kwisha nenda hospitali.
nashauri aende hospitali kwanza kabla ya kutumia hiyo bidhaa yenu, wabongo tusiangalie biashara kwanza, tuangalie maisha ya mtu kwanza
@ zainabu sawa nitajaribu kutumia bidhaa yako
wanajanvi bado nahitaji msaada wenu pia niambieni tiba mbalimbali niweze jaribu nateseka sanaa yani sikai nikatulia na kufanya mambo ya busara nakesha kujikuna tu
MziziMkavu hebu njoo huku
Pole sana kwa kujikuna ukikosa hapa dawa jukwaani nitafute mimi kwa wakati wako nitakupa dawa utaweza kupona ukinitaka mimi bonyeza hapa.Mawasilianohabari wanajanvi yapata miezi 6 sasa toka nianze tokwa na vipele hospitalini tube nyingi na sindano nimetumia bila afadhari kuna msamalia akanishauri nitumie dawa aina ya BBE nlitumia ikanipa afadhari sanaa lakini sasa vimeanza tena nimetumia tenaBBE hakuna mafanikio yoyote mpak sasa bado najikuna vipelee ni vidogoo viko makwapani mikononi mgongon tumboni sehem mbali mbali za mwili naombeni msaada hata kama kuna dawa za mitishamba muhim nipone.ASANTENI
sawa dada mimi siwezi kukusaidia ndo maana nimemwita mkuu MziziMkavu na amekuja na nina imani atakupm muwasiliane, pole sana ndugu yangubado sijatimiza masharti ya 5 post sasa siruhusiwi PM naomba uni PM namba yako cm nkutafute huko.ASANTE
[/QUOTE]Usitumie Bidhaa ya Zainabu bila ushauri wa Hospital
UOTE=Zainab Tamim;11884882]Pole sana, jaribu, ninahisi itakusaidia.