jesca.com
Member
- Jan 11, 2015
- 38
- 5
Habari wanajamvi! Yapata miezi 6 sasa toka nianze tokwa na vipele hospitalini, tube nyingi na sindano nimetumia bila afadhali. Kuna msamaria akanishauri nitumie dawa aina ya BBE, nilitumia ikanipa afadhali sanaa lakini sasa vimeanza tena.
Nimetumia tena BBE hakuna mafanikio yoyote mpaka sasa bado najikuna vipelee ni vidogo viko makwapani, mikononi, mgongoni, tumboni na sehemu mbalimbali za mwili.
Naombeni msaada hata kama kuna dawa za mitishamba, muhimu nipone.
Asanteni