Najilinda dhidi ya kufanya uasherati lakini muda mwingi natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri. Naepuka vipi hili?

Najilinda dhidi ya kufanya uasherati lakini muda mwingi natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri. Naepuka vipi hili?

Tafuta kitu cha kukuweka busy

Mfano Fanya kazi
Jifunze uandishi
Kilimo cha bustani
Kusoma vitabu

Ukiwa busy hautoweza kuwaza ngono kila wakati.
Kusoma nasoma sana ,ni mtu wa kujishughulisha sana lakini kuna siku ambayo huwa ikifika nateseka sana .
 
Kusoma nasoma sana ,ni mtu wa kujishughulisha sana lakini kuna siku ambayo huwa ikifika nateseka sana .
Kuteseka kwako Ina maana gani?

Unapata hisia Kali za kufanya ngono ndo unakoita kuteseka?

Unabidi kujipima na ujue nini unahitaji ili ufikie Ila waweza kuanza mazoezi ya meditation yatakusaidia kuondoa hiyo hali.
 
Kama Huwa unafanya Sala/maombo,ziambie fahamu zako kuwa unafunga milango na madirisha yote ya kiroho,ambayo mawakala wa kichwawi wanazitumia kukurudisha nyumba,kataa na safisha fahamu zako Kwa damu ya Yesu kristo. Jaribu kusema na fikira zako asubuhi unapoamka kabla hujafanya kitu kingine.utaona matokeo
 
Back
Top Bottom