Najilinda dhidi ya kufanya uasherati lakini muda mwingi natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri. Naepuka vipi hili?

Najilinda dhidi ya kufanya uasherati lakini muda mwingi natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri. Naepuka vipi hili?

Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa.

Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri.

Vitabu vitakatifu nasoma sana.

Sasa Nifanyaje niepukane nazo?
Kwa nini hutaki kuwa na mchumba? Vitabu vitakatifu vinashauri kuwa mbali na uasherati/ ngono. Ila ikiwa unawakwa na tamaa, basi uwe na mwenza.
 
Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa.

Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri.

Vitabu vitakatifu nasoma sana.

Sasa Nifanyaje niepukane nazo?
Hayo matendo ni yepii
 
Yaan sawa na unanjaa hutaki kupika chakula chako wala kwenda kununua mgahawani ila unasoma vitabu njaa ikutoke

Are you serious?🤣🤣

Anza zako piga mbupu ukiona hio hali then kaungame....Adam mwenyewe alikuwa akiongea na sir God ila upwiru ulimponza
 
Kuteseka kwako Ina maana gani?

Unapata hisia Kali za kufanya ngono ndo unakoita kuteseka?

Unabidi kujipima na ujue nini unahitaji ili ufikie Ila waweza kuanza mazoezi ya meditation yatakusaidia kuondoa hiyo hali.
Nakuwa napata hisia kali sana sana
 
Matendo yapi ambayo si mazuri unafikiria?

Kupiga nyeto au kubaka kuku?
Nakuwa nahisia za kufanya mapenzi na nimejizui kwa musa sasa tangu kuzaliwa mpaka leo Sijawahi lakini nimeanza kulemewa.
 
Aache kuwaza mademu na kupiga puchu

AOE
Puchu nda siiwazi hata kidogo kwakuwa nalisoma na ni ubinafsi na Yehova hapendezwi na hiyo tabia.
Na Kuhusu mademu ndo tatizo sasa .
Mwanzo niliishi muda mrefu kanisani sikuwa na haya na niliwaambia wenzangu na watawa kuwa hata nikiwa chuo nitakuwa wa mfano lakini nalemewa sasa jamoni
 
Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa.

Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri.

Vitabu vitakatifu nasoma sana.

Sasa Nifanyaje niepukane nazo?
Mimi pia nikisha wahi kuwa na changamoto Kama ya kwako .

Fanya hivi

Andaa ratiba yako ya mambo ya kufanya kwanzia asubui unapo amka adi muda unapo lala.
Uki izingatia utafanikiwa
Kwa maana focus yako itakuwa Kwa mambo yako .
 
Back
Top Bottom