Najilinda dhidi ya kufanya uasherati lakini muda mwingi natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri. Naepuka vipi hili?

Kwa nini hutaki kuwa na mchumba? Vitabu vitakatifu vinashauri kuwa mbali na uasherati/ ngono. Ila ikiwa unawakwa na tamaa, basi uwe na mwenza.
 
Hayo matendo ni yepii
 
Yaan sawa na unanjaa hutaki kupika chakula chako wala kwenda kununua mgahawani ila unasoma vitabu njaa ikutoke

Are you serious?🤣🤣

Anza zako piga mbupu ukiona hio hali then kaungame....Adam mwenyewe alikuwa akiongea na sir God ila upwiru ulimponza
 
Kuteseka kwako Ina maana gani?

Unapata hisia Kali za kufanya ngono ndo unakoita kuteseka?

Unabidi kujipima na ujue nini unahitaji ili ufikie Ila waweza kuanza mazoezi ya meditation yatakusaidia kuondoa hiyo hali.
Nakuwa napata hisia kali sana sana
 
Matendo yapi ambayo si mazuri unafikiria?

Kupiga nyeto au kubaka kuku?
Nakuwa nahisia za kufanya mapenzi na nimejizui kwa musa sasa tangu kuzaliwa mpaka leo Sijawahi lakini nimeanza kulemewa.
 
Aache kuwaza mademu na kupiga puchu

AOE
Puchu nda siiwazi hata kidogo kwakuwa nalisoma na ni ubinafsi na Yehova hapendezwi na hiyo tabia.
Na Kuhusu mademu ndo tatizo sasa .
Mwanzo niliishi muda mrefu kanisani sikuwa na haya na niliwaambia wenzangu na watawa kuwa hata nikiwa chuo nitakuwa wa mfano lakini nalemewa sasa jamoni
 
Mimi pia nikisha wahi kuwa na changamoto Kama ya kwako .

Fanya hivi

Andaa ratiba yako ya mambo ya kufanya kwanzia asubui unapo amka adi muda unapo lala.
Uki izingatia utafanikiwa
Kwa maana focus yako itakuwa Kwa mambo yako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…