Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
We usitumie kizizi, we njoo nitege tu mi ni rahisi kutegekaMadame B kulikon kila mtu kukuota wewe hebu tupe hicho kizizi na sie wenzako tutumie kha! kizuri kula na wenzako shoga angu
Hahaha au kama vipi unameza pipe ya gesi ya Mtwara halafu unaweka utambi masikioni...
Hahahaaa... JF is never boring!!
Hahaha au kama vipi unameza pipe ya gesi ya Mtwara halafu unaweka utambi masikioni...
nanii moja ndoo inaweza kujaa....Unacheza na jela!? hadi vimeota miguu vikiwa kiunoni
...kwa mwendo huu wengine tutakua twaonekana kwa nadra!