Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

Great one..hongera kwa mapambano.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako,ila inaonesha pesa ulikua nayo ya kutosha.
 
Mkuu mbona unakatisha uhondo malizia

Ili uzidi kutu inspire vijana
 
Kwanini uende kwa makafiri ? Nenda afganstan kwa dini ya mnyaz
 

Sasa hivi wameiteka ile nchi ukifika Toronto,Mississauga,Brampton,Windsor uwezi hisi kama upo canada wamejaa,
 
Shida wtz walioko nje hawasemi ukweli kwa wanaotaka kwenda nje,
Exactly mengi ya kule ni Siri za unyagoni na hutopata mbongo akwambie halii halissi za kule labda itokee bahati tu ,mambo si marahisi Kama wanavyojua unaweza kutimba na ukajuta kwa Nini umetimba .nawaonaga wengi Sana wakipambana na wengine kufikia hatua had kuuza nyumba zao na assets zao kwa kufahamu kuwa ukifika kule tu ushayatoboa bila kujua game liko tofauti kabisa mzee .

Kwa ushauri wangu Kama ni ndoto yake apiganie azame Ila akae fifte fifte ajue kwamba kutoboa inawezekana na kutokutoboa pia inawezekana Ila ajue kwamba sio askie kuwa mtu analipwa Dollar 11 kwa saa akapga hesabu akaona ni mkwanja mkubwa afahamu kwamba Kuna Kodi na bills pamoja na tax hvo vtu ni lazima .

Anyway kila la kheri mkuu katika upambanaji wake


Zingatio : - Europe Kuna maisha ya Siri kwa wãbongo na hawawez kukwambia unless ukishafika kule ujionee mwenyewe
 
Umeongea ukweli ila watz ukiwaambia ukweli wanakuona nuksi,
 
Kwa mtu yoyote ambaye atamani kufika either Canada au Marekani naomba awasiliane na huyu jamaa amewasaidia wengi sanaa na wameondoka na anafanya kazi Kwa uaminifu mkubwa 0765518333 usitoe pesa Kama maelezo yake hayajakuridisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…