and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 May 10, 2023 #81 fimboyaasali said: Kupata visa ya canada ngumu sana Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Ngumu kama huna hela kwenye akaunti, kumridhisha Afisa kuwa huzamii na hutakua mzigo huko ugenini
fimboyaasali said: Kupata visa ya canada ngumu sana Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Ngumu kama huna hela kwenye akaunti, kumridhisha Afisa kuwa huzamii na hutakua mzigo huko ugenini
K Kamongo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2009 Posts 2,190 Reaction score 2,485 May 10, 2023 #82 Kamongo said: Umeeongea ukweli Click to expand... Watu wengi sana wanahamia usa baada ya kupata uraia CA ni pagumu sana hata ukisoma kwao kupata kazi nzuri ni shida
Kamongo said: Umeeongea ukweli Click to expand... Watu wengi sana wanahamia usa baada ya kupata uraia CA ni pagumu sana hata ukisoma kwao kupata kazi nzuri ni shida
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 30, 2024 #84 Tunasubiri feedback mkuu.