Na hili kimsingi ndio linakukereketa na sio kwamba unampenda. Songa mbele,kama kubandua....bandua mwingine tuMbaya zaidi sijawahi kumbandua ๐ฎโ๐จ
Balaa
So nimtafute hivyo hivyo????Ndo maana una kuwa unajipendekeza ila unge mbandua wala usingejipendekeza kwake,ushauri wangu mbandue kwanza halafu ndo uangalie unaendelea nae au unaachana nae.
Mnatofautiana mawazo na mnanichanganyaNa hili kimsingi ndio linakukereketa na sio kwamba unampenda. Songa mbele,kama kubandua....bandua mwingine tu
Ukimbandua akifaMbaya zaidi sijawahi kumbandua ๐ฎโ๐จ
Naozea jelaUkimbandua akifa
Skiliza hii itakusaidia Mzee wangu.Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Huyu ni fala kuliko mimiSkiliza hii itakusaidia Mzee wangu.
Kazi kwelikweliMpe ukweli. Nyege zinatawala kichwa chake
SahihiAnd syo Kila muda unatakiwa uruhusu moyo ukuendeshe....judge na tumia. Logic......usfanye maamuz Kwa hisia mkuu
Kumbe lengo ni kumgegeda ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMbaya zaidi sijawahi kumbandua ๐ฎโ๐จ
Muhimu mkuuKumbe lengo ni kumgegeda ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa kama muhimu nini kilikuzuia wewe kumdinya wakati uleMuhimu mkuu
Sasa we jamaa kuna uzi ulisema kwamba mabinti wanakukataaa wewe......Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Mkuu huyu jamaa alisema yeye hajawahi kufanya mapenz halafu umri ni 21 kulingana na uzi wake ulopitaSasa kama muhimu nini kilikuzuia wewe kumdinya wakati ule
Sijawahi kuanzisha uzi kuwa nakataliwa never hebu nioneshe huo uziSasa we jamaa kuna uzi ulisema kwamba mabinti wanakukataaa wewe......
Cha msingi wakikukataa wakataeee katika maisha yako mkuu afu acha mapema kujipendekeza tupa kuleee hiyo ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Lakini sio kukataliwaMkuu huyu jamaa alisema yeye hajawahi kufanya mapenz halafu umri ni 21 kulingana na uzi wake ulopita
Anhaa kumbe nimejichanganya ila si humohumo auLakini sio kukataliwa