Najipendekeza au niachane nae

Najipendekeza au niachane nae

Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi

Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real

Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana

Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee

Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Skiliza hii itakusaidia Mzee wangu.
 
Attachments

  • 17257936159591.mp4
    2 MB

Sasa we jamaa kuna uzi ulisema kwamba mabinti wanakukataaa wewe......

Cha msingi wakikukataa wakataeee katika maisha yako mkuu afu acha mapema kujipendekeza tupa kuleee hiyo 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom