Najipendekeza au niachane nae

We dada punguza umbea jamani nini hiki kuaibishana 😮‍💨😅
 
Kuhusu kubanduana utachagua mwenyewe, .. ushauri wangu...

1. Ukimwi upo
2. Ngono haina tuzo
3. Fanya kazi ukikua oa
4. Utazikwa peke yako
5. Penda watu wote
Wazo zuri
😂 sasa wameachanaje na hajawai kuishi nae.

Bila shaka atakuwa under 20 huyu au kuna tatizo mahali.
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…