Zombie Sikutaji Humu Eeh
JF-Expert Member
- Jul 2, 2024
- 228
- 667
- Thread starter
- #61
We dada punguza umbea jamani nini hiki kuaibishana 😮💨😅Soma huu uzi wake labda utamuelewa🤣
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru
Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza... Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa