Zombie Sikutaji Humu Eeh
JF-Expert Member
- Jul 2, 2024
- 228
- 667
Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why