Najipendekeza au niachane nae

Najipendekeza au niachane nae

😂 sasa wameachanaje na hajawai kuishi nae.

Bila shaka atakuwa under 20 huyu au kuna tatizo mahali.
Soma huu uzi wake labda utamuelewa🤣

Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza... Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa
 
Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi

Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi mara 4 ya kile anachopata ila still nampenda for real

Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana

Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee

Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Mbugila kwer
 
Back
Top Bottom