Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Tunamrahisishia kijanaWe jamaaa haha so amtegeshee bigG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamrahisishia kijanaWe jamaaa haha so amtegeshee bigG
😂😂😂😂endelea kujipendekza, mtumie hela haduhakikishe unashinda njaa, ukishaona huna kitu na bado akili haikai sawa mhonge nyumba yenu anaweza akakuelewa.
Hao marafiki wanakupatia unachotaka kutoka kwa huyo mwanamke?Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Wewe ni zoba.Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Hichi ndo kinachokuumaMbaya zaidi sijawahi kumbandua 😮💨