Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

wachaga kwa ubahiri!! jana sikukupa laki ww umeishaje..?
Kanunua chakula cha mifugo na kuongeza mzigo dukani, hahahahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀
 
happy born day mrembo, nadhani tumezaliwa mwezi mmoja yangu tarehe 15/5, Mungu akujalie ufike miaka 1000
 
Happy birthday mkuu. Uishi miaka mingi zaidi yenye a man I na mafanikio tele
 
Happy birthday Mtabiri, M/Mungu akujaalie Afya njema yenye faida, akufungulie njia zote za mafanikio,akuondolee Shari za Dunia hii na kila utakalolifanya likapate kumpendeza M/Mungu na viumbe vyake
 
Happy birthday Mtabiri, M/Mungu akujaalie Afya njema yenye faida, akufungulie njia zote za mafanikio,akuondolee Shari za Dunia hii na kila utakalolifanya likapate kumpendeza M/Mungu na viumbe vyake
Ameen, LadyAJ nashukuru sana mpendwa kwa kuniombea mema
 
Happy birthday mkuu. Uishi miaka mingi zaidi yenye a man I na mafanikio tele
Ahsante sana Kan'tangaze oooops nimesahau kumbe sasa ni Maserati, hahahaha nashukuru sana ndugu yangu
 
Wana JF mpogo!

Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.

Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.

Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi

I prefer pesa to maua/kadi
Define Birthday...!?
The one and only day in your life when you were crying and your mother was laughing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…