Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

wachaga kwa ubahiri!! jana sikukupa laki ww umeishaje..?
Kanunua chakula cha mifugo na kuongeza mzigo dukani, hahahahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀
 
happy born day mrembo, nadhani tumezaliwa mwezi mmoja yangu tarehe 15/5, Mungu akujalie ufike miaka 1000
 
Ahsante rafiki yangu Ngushi, ya kwako ikifika unikumbushe nikutumie zawadi, tena uwe wazi unapenda za
Ahsante rafiki yangu Ngushi, ya kwako ikifika unikumbushe nikutumie zawadi, tena uwe wazi unapenda zawadi gani (ila iwe affordable) hahahahahahahah, usije ukasema gari aina ya hammer tehe tehe. yote kwa yote ahsante sana my rafiki
Ha haaaa haaaaaa isipotumwa nakushtaki kwa ma mod wakupige ban
 
Happy birthday mkuu. Uishi miaka mingi zaidi yenye a man I na mafanikio tele
 
Happy birthday Mtabiri, M/Mungu akujaalie Afya njema yenye faida, akufungulie njia zote za mafanikio,akuondolee Shari za Dunia hii na kila utakalolifanya likapate kumpendeza M/Mungu na viumbe vyake
 
Happy birthday Mtabiri, M/Mungu akujaalie Afya njema yenye faida, akufungulie njia zote za mafanikio,akuondolee Shari za Dunia hii na kila utakalolifanya likapate kumpendeza M/Mungu na viumbe vyake
Ameen, LadyAJ nashukuru sana mpendwa kwa kuniombea mema
 
Wana JF mpogo!

Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.

Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.

Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi

I prefer pesa to maua/kadi
Define Birthday...!?
The one and only day in your life when you were crying and your mother was laughing.
Screenshot_2017-05-11-09-39-15.png
 
Back
Top Bottom