Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

Hongera kwa kuzaliwa tarehe kama ya leo

MUNGU akubariki na akufanyie wepesi kwa kila jambo ulifanyalo

Ishi miaka 07686830...........!!
 
Mungu akuzidishie kila hitaji la moyo wako rafiki yangu
 
Mbn haya mambo vijijini haknaga au hawajui siku zao za kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…