Najisikia huzuni moyoni mwangu

Aaaaaargh!!!kwani ile comedy yako ya kuolewa imechuja Mara hii!!!hapana endelea na ile ilikutoa sana
 
Nikushauri kwa mara ya mwisho. Ni pm namba zako, nakuhakikishia ukizini na jamaa flan namfahamu hautazini tena na roho yako itapona.
 
Wanawake wa dar ukiwaoa ujue umebeba chizi ukaweka ndani, yaani hawajafundwa hata hawajui maana ya ndoa
 
njia ya muongo n fupi,huo uzinzi umeufanya ln wakat umeolewa bikra?**** sehem nlkulza hyo bikra n ya wapi?
 


Katika 2Timotheo 3:16-17 imeandikwa ‘Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema’.
 
Dah... wewe si umeolewa juzi tu hapa??[emoji15]
 
Wanawake wa dar ukiwaoa ujue umebeba chizi ukaweka ndani, yaani hawajafundwa hata hawajui maana ya ndoa
Halafu best nikwambie kitu..yaani huwa unaongea pumba kuliko yoyote humu ndani, kabla hujaandi ujinga wako jiulize kwanza.,.halafu ukishaandika mtafute mtu mwenye akili timamu umuulize kama umeandika point angalau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…