Najisikia huzuni moyoni mwangu

Najisikia huzuni moyoni mwangu

I seriously suspect huyu Monicca ana katabia kanafanana na Faiza Ally Ex wa Sugu. Wana attribute identical. They might be one and the same person!
 
Dah hivi Jf hakuna majini kweli?
Kama umaarufu jf kashaupata sijui nini cha ziada!
 
Za wakati tena wanajamvi!

Leo najisikia unyonge moyoni mwangu sijisikii kuchangamka kama nilivyozoeleka.

Najisikia kulia nikikumbuka madhambi yangu hasa ya uzinzi.

najisikia vibaya..bilashaka moyo wangu unaniongoza upande wa salama nawaza sijui niokoke au niendelee tu na uzinifu?

Ushauri wenu plz.

Na je nikiokoka Nani atawachangamsha tena?

Na je kweli naweza kusamehewa dhambi ya zinaa?
Mwenye ndoa isiyomaliza hata wiki ushazini
 
I seriously suspect huyu Monicca ana katabia kanafanana na Faiza Ally Ex wa Sugu. Wana attribute identical. They might be one and the same person!
Chunguza tenna maana haupo sahihi
 
Hii biashara yako unajua kuitangaza vyema, ngoja nikufate huko PM tuangalie mpango flani wa kula hiyo [emoji76]
 
Back
Top Bottom