Najisikia kutapika lakini sitapiki. Shida itakuwa ni nini?

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
379
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
 
Dem wake ana mimba.
 
Kula
Kula dawa za minyoo,
 
Kama wa kiume wamchunguze vizuri huenda marinda washayakata utepe.
 
Minyoo na Vidonda vya tumbo.
 
Huyo ndugu yako ni wewe mwenyewe
 
Hay jawahi kuwa na mdonda tumbo???

Mimi iyo Hali huwa inakuja nikifululiza kula mtaani,, lakini huwa natibu kwa kula mboga yenye ambayo inamchanganyiko wa tangawizi, uisage,, kutunguu swaumu usage,, Kisha changanya itumike kuungia mboga,, au kama wewe ununu chips kidogo, uweke huo mchanganyo kwa wingi sana Milo miwili tu ,, Mimi huwa inakata kabisa
 
Njoo umpeleke ujinga tu
Unashauriwa harafu unatukana mtoa ushauri;!? Unataka sisi tuanze kupiga tamli za ngonjwa wako wa kiume kuwa labda anaumwa tezi dume!?


Basi kwangu Mimi naona huyo ndugu yako anaumwa ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…