Najisikia kutapika lakini sitapiki. Shida itakuwa ni nini?

Najisikia kutapika lakini sitapiki. Shida itakuwa ni nini?

Unashauriwa harafu unatukana mtoa ushauri;!? Unataka sisi tuanze kupiga tamli za ngonjwa wako wa kiume kuwa labda anaumwa tezi dume!?


Basi kwangu Mimi naona huyo ndugu yako anaumwa ukimwi
Ww unahisi apo amenishaur nini,naona umenuna nilivyomjibu bwana wako tembea mbele uko
 
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
Kunywa dawa ya minyoo hiyo hali itaisha
 
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito


UTAKUWA NA MIMBA TU. HAMNA KINGINE. HATA MY WIFE WANGU ALIKUWA KAMA WEEE.
 
Naomba kuuliza samahani lkn unaweza kuwa na vidonda vya tumbo hlf tumbo lisiume?
Stage ya kwanza, huwezi kusikia maumivu.. Isipokuwa utasikia kichefuchefu, Kiungulia na maumivu ya kiuno kwa mbali.

Nenda hospital kapime vipimo
 
Back
Top Bottom