kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ww unahisi apo amenishaur nini,naona umenuna nilivyomjibu bwana wako tembea mbele ukoUnashauriwa harafu unatukana mtoa ushauri;!? Unataka sisi tuanze kupiga tamli za ngonjwa wako wa kiume kuwa labda anaumwa tezi dume!?
Basi kwangu Mimi naona huyo ndugu yako anaumwa ukimwi
XawaAkapime pia minyoo,,,, ! Muhimu sana
Naomba kuuliza samahani lkn unaweza kuwa na vidonda vya tumbo hlf tumbo lisiume?Minyoo na Vidonda vya tumbo.
Wewe naona unataka mkikimb- oo,hebu njoo inbox tuyajenge mrembo wangu.😍😘🥰Ww unahisi apo amenishaur nini,naona umenuna nilivyomjibu bwana wako tembea mbele uko
Kunywa dawa ya minyoo hiyo hali itaishaHabari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
Stage ya kwanza, huwezi kusikia maumivu.. Isipokuwa utasikia kichefuchefu, Kiungulia na maumivu ya kiuno kwa mbali.Naomba kuuliza samahani lkn unaweza kuwa na vidonda vya tumbo hlf tumbo lisiume?