Ni kweli, mtu wa aina yako ni lazima awe ameumizwa sana, ila usilipe kisasi mkuu, kisasi ni cha Mungu, ninajua hiyo ni psychological torture. Niliwahi kuwa karibu na mtu wa ina yako,yeye alikuwa anabadilisha wanawake kila baaada ya siku mbili au tatu na ilikuwa hajali wale wanaoumia kwa kuachwa, lakini nilikuja kugundua katika story zake siku moja, kuwa aliwahi kutendwa na mwanamke ambaye alimpenda sana na alipanga kumuoa. Sikushauri kama na wewe huo ni mpango wako kwani mwisho wa siku ni wewe utakayeumia.