mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
The awful dentist.Ahlan wasalan wanajukwaa salamu nawasalimia,
Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi, mimi ni mmoja kati ya wanaume nilyeumizwa sana na wanawake imefikia stage nawachukia sana wanawake.
Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu, kwa nia ya dhati kabisa nimedhamiria kuwaumiza wanawake na ninafurahi sana kuona mwanamke analia na kuumia kwasababu yangu.
(Nimelikumbuka Hili shairi)
Sent using Jamii Forums mobile app