Najisikia raha sana ninapowaumiza wanawake

The awful dentist.

(Nimelikumbuka Hili shairi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni njia gani unayotumia kuwaumiza mku6
 
Ila siku utakayopanga kuoa utaipata Fresh ya shamba.
 
Pole sana.....
Umepokea kwa shangwe liroho la kukataliwa kwa kujeruhiwa badala ya kutafuta tiba, unatumika kama chombo cha uharibifu na usambazaji wa maroho machafu kwa wengine,
Pona!
 
Unawaumizaje? Unawasambazia HIV?
 
Naona kila mtu anakuponda..mimi wacha niwe upande wako mkuu

Endelea kuwaumiza, chapa acha,usirudie mara mbili endelea kuwaumiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…