sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 184
- 274
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.
Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi fikiria kuja kutembea na mke wa mtu, niliapa siwezi kamwe maana inakuwa siyo vizuri kufanya jambo hilo.
Lakini kuna bi dada mmoja hakika sijui ilikuwaje aisee, nikajikuta nimenasa kwa penzi lake, ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja sasahivi.
Dada mzuri, mrembo amejaaliwa, nikajikuta namvutia uzi chap bila kujali kama ana mume. Nikikaza kamba mwisho wa siku akanielewa, na siku hiyo ya kumnyandua, aliniita kwake nyumbani wakati mume amesafiri.
Nikala tunda mpaka asubuhi, niliwahi sana kuamka siku hiyo. Saa kumi usiku nikatoka maeneo yale, sasa baada ya kumaliza tendo lile hakika nilijisikia vibaya sana kwa kufanya vile.
1. Nimemla mke wa mtu ni mtamu sana lakini namkosea mwanaume wake, maana amekaa huko kupambana ili mke na mtoto wale, halafu mimi ndiyo nipo kuwala, siyo jambo jema.
2. Nimeona kama nahatarisha maisha yangu maana mapenzi ni ya maficho, sana.
NB: Vijana wenzangu tuache kutembea na wake za watu ni dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. Sijapenda, sina amani kabisa ndani ya moyo wangu, naumia kwanini nimefanya hivi.
Na bi dada sasahivi ameniganda turudie tena eti amenimis, nawaza hivi hauwezi kuwa mtego kweli nikanaswa, sina majibu. mimi ninafanya shughuli flan, bi dada akija asiponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.
Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.